Saturday, August 1, 2009

QUEENMONALISA


Karibu katika blog hii yakitanzania ambayo itakuwa inakupa habari mbalimbali za filamu za kitanzania..kupitia blog hii utawezakujua ni filamu gani mpya inayotarajia kuingia sokoni. Pia itakupa taarifa mbalimbali za mastaa wa filamu hapa nchini Tanzania, Si hivyo tu bali itakupa nafasi ya wewe mdau wa filamu kutoa maoni juu ya taarifa mbali mbali utakazozipata katika blog hii kila siku.

No comments:

Post a Comment